Tuesday, February 8, 2011

WADAU WA BONGO FLAVOUR NDANI YA MJENGO.

Uchaguzi mkuu wa october 2010 nncini Tanzania umeshuhudia wadau na wanaharakati wa mziki wa kizazi kipya maarufu kama bongo flava wakiingia katika ulingo wa siasa, mfano mzuri ni Joseph Mbilinyi aka MR II aka SUGU na Vicky KAMATA, je ushiriki wa wadau hao wa bongo flava ndani ya chombo cha maamuzi utamaliza kero za wasanii nchini tanzania? je haki miliki ambayo imekuwa ndoto ya wasanii nnchini tanzania itatimia? je wasanii sasa watafaidika na kazi zao?

No comments:

Post a Comment